『5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)』のカバーアート

5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)

5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Wakati Yesu alipanda mlimani na kuhubiri, umati wa watu ulikuwa ukimfuata. Kisha akiweka mikono Yake juu ya chakula kidogo ambacho kilikuwa cha kutosha kwa chakula cha mchana moja, Yesu akabariki na akafanya muujiza wa kuwalisha watu zaidi ya 5,000 na mkate na samaki, akiacha vikapu kumi na viwili vya mabaki. Kwa hivyo watu walimfuata Yesu na wakamtaka awe Mfalme wao. Waliwaza, Je! ingekuwa heri kuwa na mfalme kama huyo? Kwa hivyo walijaribu kumfanya Bwana kuwa mfalme wao, lakini Yesu aliondoka akaenda kuvuka pwani ya bahari. Umati mkubwa ukamfuata kwa hamu ya kutaka kupata chakula kingine kutoka kwake, Yesu akawakemea, akisema, “Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika,bali chakula kidumucho hata uzima wa milele.” (Yohana 6:27).

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。