『5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)』のカバーアート

5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Ikiwa unahitaji kuwa na usharika na Roho Mtakatifu kwanza kabisa lazima uelewe kwamba dhambi iliyo ndogo kabisa mbele ya Mungu inatosha kutokufanya usharika na Mungu. Unaweza kudhani “Sasa itawezekanaje mtu asiwe na dhambi hata kidogo mbele ya Mungu?” Lakini ikiwa kweli unatamani usharika na Bwana basi lazima pasiwepo na kiza moyoni mwako. Hivyo ili uwe na usharika na Bwana, unahitajika kujua kwamba lazima uamini Injili ya ukombozi na kujitakasa dhambi zako zote.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。