『5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)』のカバーアート

5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)

5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Injili ya Yohana, Vitabu vitatu vya 1, 2, na 3 Yohana, na Kitabu cha Ufunuo ni Maandiko yaliyoandikwa na Mtume Yohana. Kwa kupitia Maandiko haya, basi tunaweza kuona jinsi imani ya Mtume Yohana ilivyokuwa, na pia jinsi imani ya wanafunzi wa Yesu ilivyokuwa. Mtume Yohana aliamini kuwa Yesu alikuwa ni Mungu halisi aliyeumba ulimwengu wote na sisi wanadamu, na kwamba Mungu alikuwa ni Mwokozi wake na Mwokozi wa wanadamu wote. Sisi sote tunapaswa kuwa na aina hii ya imani.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

5. Tuufurahie Utukufu wa Mungu Kwa Shukrani (Yohan 1:1-14)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。