『6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)』のカバーアート

6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)

6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Katika kifungu kilichopita hapo juu tumeona wanawali watano wenye busara na wapumbavu, wanawali wapumbavu waliwaomba wale wenyebusara kuwagawia kiasi cha mafuta ya taa lakini wenye busara wakawajibu wale wapumbavu “hayatatutosha sisi na ninyi shikeni njia muende kwa wauzao mkajinunulie”. Hivyo wakati wale walio wapumbavu wakienda nje kununua mafuta hayo, wale wenye busara walikuwa nayo katika taa zao na kuingia katika sherehe za harusi. Sasa basi ni kwa namna gani tunaweza kuyatayarisha mafuta kwa ajili ya Bwana? Kitu pekee tunachoweza kufanya ni kuusubiri msamaha wake wa dhambi katika mioyo yetu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。