『6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)』のカバーアート

6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)

6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kifungu cha maandiko cha leo kinatoka katika injili ya Yohana 1:30-36. Watumishi wa Mungu wanaoamini katika injili ya maji na Roho wanafahamu wote kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na Mwokozi wa wenye dhambi. Vivyo hivyo, wale ambao wanamfahamu na kumwamini Mungu kwa kweli wanaweza kutambua kuwa Yohana Mbatizaji aliitimiza huduma muhimu na ya thamani akiwa kama mtumishi wa Mungu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

6. Je, Unazifahamu Huduma za Watumishi Wawili wa Mungu? (Yohana 1:30-36)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。