• 6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)

  • 2023/01/15
  • 再生時間: 49 分
  • ポッドキャスト

6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)

  • サマリー

  • Wakati Bwana wetu alipokuwa duniani, watu wa Israeli walikuwa masikini sana na hawakuwa na chakula cha kutosha kujilisha, kwani walinyonywa na Dola la Rumi kama koloni. Bwana wetu alikutana na wagonjwa na akawaponya, na akafanya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili kwa maskini kuwalisha kwa chakula cha mwili. Kuona watu wa Israeli, Bwana wetu aliwaonea huruma. Aliwahurumia kwa sababu aliwaona kama kondoo waliopotea, kundi bila mchungaji. Wakati watu wa Israeli walimfuata Yesu njia yote kuelekea nyikani, Yesu aliwaonea huruma, kwani hata kama wanahitaji kulishwa, kwani walikuwa na nyama, hawakuwa na chakula.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    続きを読む 一部表示
activate_samplebutton_t1

あらすじ・解説

Wakati Bwana wetu alipokuwa duniani, watu wa Israeli walikuwa masikini sana na hawakuwa na chakula cha kutosha kujilisha, kwani walinyonywa na Dola la Rumi kama koloni. Bwana wetu alikutana na wagonjwa na akawaponya, na akafanya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili kwa maskini kuwalisha kwa chakula cha mwili. Kuona watu wa Israeli, Bwana wetu aliwaonea huruma. Aliwahurumia kwa sababu aliwaona kama kondoo waliopotea, kundi bila mchungaji. Wakati watu wa Israeli walimfuata Yesu njia yote kuelekea nyikani, Yesu aliwaonea huruma, kwani hata kama wanahitaji kulishwa, kwani walikuwa na nyama, hawakuwa na chakula.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。