『7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)』のカバーアート

7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)

7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Watu wengi hawafahamu ni kwa nini Yesu alikuja hapa ulimwenguni na akaupokea ubatizo toka kwa Yohana Mbatizaji. Lakini ni lazima tufahamu vizuri kuhusu dhumuni la ubatizo ambao Yesu aliupokea, kuhusu Yohana Mbatizaji ambaye alimbatiza Yesu, na kuhusu uhusiano kati ya watu hao wawili. Kwa hiyo, kwanza kwa kutumia aya za Maandiko ninataka kuangalia habari za msingi na dhumuni la ubatizo wa Yesu uliotolewa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Na ili kufanya hivyo ni lazima tugeukie katika Injili ya Mathayo na kisha kumchunguza Yohana Mbatizaji aliyembatiza Yesu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

7. Kwa Nini Yesu Alipaswa Kuupokea Ubatizo? (Yohana 3:22-36)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。