『7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)』のカバーアート

7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Katika Injili ya Yohana sura ya 6, Bwana anasema, “Mimi ni chakula cha uzima.” Watu walihisi wamekula chakula cha mwili kutoka kwa Yesu. Siku iliyofuata, walienda kumtafuta Yesu tena, lakini Yesu aliwaambia wasifanyie kazi chakula kinachoharibika bali chakula ambacho ni cha uzima wa milele. Na kwa hivyo, watu waliuliza, “Tufanyeje ili tupate kuzitenda kazi za Mungu?” (Yohana 6:28) Yesu akajibu, “Hii ndiyo,kazi ya Mungu,mmwamini yeye aliyetumwa na yeye.” (Yohana 6:29).

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

7. Yesu Kristo, Aliyefanyika Mkate wa Uzima Kwetu (Yohana 6:41-51)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。