-
サマリー
あらすじ・解説
Yo! BHH Podcast ndio base ya mambo yote ya Bongo Hip Hop. Tuna-chambua biashara, Tunatoa Siri Za A&R, Tuna-rejelea Historia, kuanzia Tech, na kusikiliza maoni ya Wadau. Tuko hapa kukufunza, kuku-hype, na kuonyesha dunia Bongo Hip Hop ni kitu gani,Ng'aa nasi upate toka gizani leo!. Latyankira kwenye usukani -🎙️