エピソード

  • Neuralink & AI: Mustakabali wa Binadamu ni Upi?
    2025/05/07
    Kama ungepewa nafasi ya kuunganisha akili yako moja kwa moja na kompyuta ungekubali? Teknolojia ya Neuralink imeleta uwezekano huo… lakini gharama yake ni ipi? Je, ni uwezo zaidi au ni udhibiti zaidi katika maisha ya binadamu? 🎧Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza. Jibu hilo liko kwenye episode yetu mpya hosted by @jackline_mgina & @maria_ukhotya 🎬 Producer: @ombloxgenius Follow us: 📲 Instagram: @eleven_digital255 📘 Facebook: @eleven_digital255 🔗 LinkedIn: @eleven_digital255 #TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast #AkiliBandia #Neuralink #FutureTalks #DigitalAfrica
    続きを読む 一部表示
    5 分
  • "Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi Wa Kidijitali Utakaokufungulia Milango"
    2025/03/26
    Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi wa kidijitali kutoka AI hadi Cybersecurity, tunachambua mustakabali wa kidijitali na fursa zake. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Jackline Francis & Maria Ukhotya Producer Jeremiah Ombelo Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255 #TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast"
    続きを読む 一部表示
    9 分
  • Wanawake, Mapinduzi Na Teknolojia: Mahojiano Maalum na Asha Abinallah
    2025/03/09
    Katika #ElevenDigitalThePodcast, tunazungumzia nafasi ya wanawake katika teknolojia, changamoto wanazokutana nazo, na jinsi ya kuwawezesha zaidi. Je, jamii inaweza kufanya nini kusaidia wasichana wengi zaidi kuingia kwenye teknolojia? Sikiliza podcast yetu kwa maarifa na msukumo zaidi! 🎙️ #WomenInTech #DigitalRevolution 📲 Instagram | Facebook | LinkedIn: @eleven_digital255
    続きを読む 一部表示
    7 分
  • Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali
    2024/04/16

    Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali


    Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku.


    🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza


    Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph


    Producer Owen Bariki.


    Instagram: eleven_digital255

    Facebook: eleven_digital255

    LinkedIn: eleven_digital255

    続きを読む 一部表示
    11 分
  • Kuwa Mtaalamu Wa Mitandao Ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako
    2024/04/09

    Mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti.

    Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako





    🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza


    Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph


    Producer Owen Bariki.


    Instagram: eleven_digital255

    Facebook: eleven_digital255

    LinkedIn: eleven_digital255

    続きを読む 一部表示
    19 分
  • Tambuwa Barua Pepe Za Ulaghai (Phishing Emails)
    2024/01/30
    Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails) Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni! (Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣) Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    続きを読む 一部表示
    13 分
  • Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu
    2023/12/11
    Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya kugundua uwezekano wa hali ya juu na kushuhudia mabadiliko ambayo yanavuta nyuzi za maisha yetu. Jiunge nasi kwenye Episode hii, tuchimbue pamoja kina cha Virtual Reality, na ujiandae kushangaa na mshangao wa teknolojia inayobadilisha maisha. Maisha bora yanakungoja! Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    続きを読む 一部表示
    12 分
  • Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.
    2023/12/05
    Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanza na maudhui ya kimtandao yenye nguvu. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    続きを読む 一部表示
    11 分