-
サマリー
あらすじ・解説
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Ayubu Mwashibiri, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Je, Bikira Maria alibaki kuwa Bikira baada ya kumzaa Yesu na aliendelea kuwa na Joseph.
L'articolo Je, wafahmu Bikira Maria alibaki kuwa Bikira baada ya kumzaa Yesu? proviene da Radio Maria.