エピソード

  • Ni, maadili gani unayoyapa kipaumbele katika kulea mtoto?
    2025/05/14

    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro life utetezi wa uhai, Wawezeshaji ni Godfrey Mkaikuta, Janeth Akaro na Witness Joachim kutoka Pro life Tanzania, wakitufundisha juu ya Familia na malezi ya watoto.

    L'articolo Ni, maadili gani unayoyapa kipaumbele katika kulea mtoto? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    51 分
  • Je, wafahamu historia ya Rozari ya Huruma ya Mungu na kwanini inasaliwa saa Tisa(9). Stu
    2025/05/14

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Barnabas Muyushi, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema naomba kujuwa historia ya Rozari ya Huruma ya Mungu na kwanini inasaliwa saa sita mchana.

    L'articolo Je, wafahamu historia ya Rozari ya Huruma ya Mungu na kwanini inasaliwa saa Tisa(9). Stu proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    20 分
  • Je, Bikira Maria ni Mama wa Matumaini?
    2025/05/09

    Karibu katika Kipindi cha Katekisimu Katoliki, kutoka Studio za Radio Maria Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.P.PS Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria Tanzania akieendelea kutufundisha Mama wa Matumaini.

    L'articolo Je, Bikira Maria ni Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    56 分
  • Je, unafahamu sifa ya Bikira Maria Mama wa Matumaini?
    2025/05/09

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, leo katika kipindi chetu tutakuwa na Padre Dominic Mavule Mkurugezi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akijibu swali letu kuhusu mafundisho ya Imani Katoliki

    L'articolo Je, unafahamu sifa ya Bikira Maria Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    55 分
  • Mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ?
    2025/05/02

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Abel Ubamba, Kutoka seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ?

    L'articolo Mambo gani yanasababisha ndoa nyingi siku hizi zisidumu katika ubora wake ? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    31 分
  • Ni, kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini?
    2025/05/02

    Karibu ungane nami Happiness Mlewa katika Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe Mkurugenzi wa Radio Mbiu sauti ya Faraja Kagera, akituongoza kujifunza ni kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini

    L'articolo Ni, kwa namna gani Bikira Maria ni Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    55 分
  • Je, ni kwa namna gani Yesu alikutukomboa kutoka Dhambini?
    2025/04/24

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Peter Peter Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki la Songea ,akijibu swali la Msikilizaji linalosema Yesu alitukomboa kwa namna gani mbona dhambi bado ipo duniani?

    L'articolo Je, ni kwa namna gani Yesu alikutukomboa kutoka Dhambini? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    23 分
  • Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?
    2025/04/24

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frateri Emmanuel Elisha Mganga Kutoka Parokia ya Mtakatifu Magreth wa Scotland Majengo, Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, akijibu swali hili Naomba kujua Wainjili ni wanne kwanini Kanisa katoliki linakomea mwaka “C” wa Kanisa na kwanini hakuna mwaka ‘D’ wa Kanisa?

    L'articolo Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    25 分