『SURA YA 1-3. Mwenye haki ataishi kwa Imani (Warumi 1:17)』のカバーアート

SURA YA 1-3. Mwenye haki ataishi kwa Imani (Warumi 1:17)

SURA YA 1-3. Mwenye haki ataishi kwa Imani (Warumi 1:17)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Je, wenye haki huishi kwa namna ipi? Kwa imani. Wenye haki huishi kwa imani. Ukweli ni kwamba neno “Imani” ni la kawaida, lakini ni neno kuu na muhimu katika Biblia. Wenye haki huishi kwa imani tu. Natumaini tutaweza kupata mwanga toka katika kifungu hiki kwa sababu tuna mwili na Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu. Tunajaribu kutafsiri maandiko mengi kwa mawazo yetu pasipo kujua maana kamili iliyo fichika katika Biblia ingawa tunaweza kuelewa katika hali ya kawaidia. Kwa pamoja tuna mwili na Roho. Hivyo, Biblia inasema kwamba sisi wenye haki tutaishi kwa imani kwa sababu tunaondoleo la dhambi.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

SURA YA 1-3. Mwenye haki ataishi kwa Imani (Warumi 1:17)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。