• SURA YA 2-2. Wale wenye kuidharau Neema ya Mungu (Warumi 2:1-16)

  • 2023/01/13
  • 再生時間: 38 分
  • ポッドキャスト

SURA YA 2-2. Wale wenye kuidharau Neema ya Mungu (Warumi 2:1-16)

  • サマリー

  • Hebu tuzungumzie juu ya sheria. Paulo Mtumie aliwaambia Wayahudi walio ifuata sheria “kwa hiyo wewe mtu uwaye yote uhukumuye, huna udhuru, kwa maana katika hayo umhukumuye unafanya yale yale: Nasi twajua ya kuwa hukumu ya Mungu ni ya kweli juu yao wafanyao hayo. Wewe binadamu uhukumuye je, wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?” (Warumi 2:1-3). Waifuatao sheria hudhani kwamba wao ndio wanao mheshimu Mungu zaidi. Aina hii ya watu hawamwamini Mungu kwa mioyo yao yote, bali kwa majivuno yao bandia yaliyo katika msingi wa matendo yao. Watu hawa hupenda kuwahukumu wengine na ni wepesi kwa hilo sana. Hata hivyo wakiwa wana wahukumu wengine kwa maneno ya Mungu hawagundui ya kwamba wao nao wanafanana na hao wanao wahukumu na pia kufanya makosa hayo hayo.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    続きを読む 一部表示
activate_samplebutton_t1

あらすじ・解説

Hebu tuzungumzie juu ya sheria. Paulo Mtumie aliwaambia Wayahudi walio ifuata sheria “kwa hiyo wewe mtu uwaye yote uhukumuye, huna udhuru, kwa maana katika hayo umhukumuye unafanya yale yale: Nasi twajua ya kuwa hukumu ya Mungu ni ya kweli juu yao wafanyao hayo. Wewe binadamu uhukumuye je, wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?” (Warumi 2:1-3). Waifuatao sheria hudhani kwamba wao ndio wanao mheshimu Mungu zaidi. Aina hii ya watu hawamwamini Mungu kwa mioyo yao yote, bali kwa majivuno yao bandia yaliyo katika msingi wa matendo yao. Watu hawa hupenda kuwahukumu wengine na ni wepesi kwa hilo sana. Hata hivyo wakiwa wana wahukumu wengine kwa maneno ya Mungu hawagundui ya kwamba wao nao wanafanana na hao wanao wahukumu na pia kufanya makosa hayo hayo.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

SURA YA 2-2. Wale wenye kuidharau Neema ya Mungu (Warumi 2:1-16)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。