-
Tanzania Adapts: Part 2 - Ubunifu matofali yanayotokana na taka za Plastiki
- 2023/05/11
- 再生時間: 16 分
- ポッドキャスト
-
サマリー
あらすじ・解説
“Nilijifunza kupitia mtandao kuanzia nyumbani kwa kutumia sufuria na familia yangu waliona napoteza muda kwa ninachofanya lakini nilisema hapana kwakuwa nimesoma mtandaoni kuwa Plastic ina fursa kubwa sana ambayo hatujaitumia ipasavyo hapa Tanzania” Hellen Sailas (26years). Hellen ni mgeni wetu kwenye Episode hii mpya ya Tanzania Adapts Podcast, ni mwanzilishi na Mkurugenzi Arena Recycling anayetumia ubunifu kurejelesha taka za Plastic kutengeneza matofali magumu yanayotumika kwenye ujenzi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Episode hii akielezea amewezaje kuruka viunzi kuanzia ngazi ya familia, kukua kwenye uongozi na ubunifu wake kuleta mabadiliko chanya kimazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kutambulika kitaifa na kimataifa.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.