エピソード

  • Bongo Hip-hop Podcast
    2024/12/22

    Ni show ya kuelemisha na kuzugumza kuhusu vitu vipi vinavyo itajika kuzugumzwa Kati ya wana hip hop ili tusi ignore vitu vipi vinaonekana ni serious lakini taasisi wana chukuwa lightly kwasababu hawajavizoea

    続きを読む 一部表示
    15 分
  • Bongo Hip-hop Podcast
    2024/12/22

    Yo! BHH Podcast ndio base ya mambo yote ya Bongo Hip Hop. Tuna-chambua biashara, Tunatoa Siri Za A&R, Tuna-rejelea Historia, kuanzia Tech, na kusikiliza maoni ya Wadau. Tuko hapa kukufunza, kuku-hype, na kuonyesha dunia Bongo Hip Hop ni kitu gani,Ng'aa nasi upate toka gizani leo!. Latyankira kwenye usukani -🎙️

    続きを読む 一部表示
    10 分