• Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast

  • 2022/11/27
  • 再生時間: 15 分
  • ポッドキャスト

Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcast

  • サマリー

  • Eliot Berry, Raia wa Uingereza alikuja Kenya akiwa na umri wa miaka 19 alipotumwa na mamaye kutembea. Anasema alikuwa msumbufu na mara nyingi alikuwa akitoroka shuleni lakini alipofika Kenya alihisi kuwa nyumbani na maisha yake yakabadilika. Alianza rasmi kuishi nchini Kenya mwaka 2011 na amejifunza Kiswahili na pia Sheng kwa lengo la kutangamana na watu wa matabaka yote. Aidha, kwenye mitandao ya kijamii anakojulikana kama Reverend Dad, amekuwa akiwafurahisha watu kwa video za ucheshi kutumia Kiswahili. Katika Kicha Changu Podcast wiki hii tunaangazia maisha ya Reverend Dad, katika mahojaino haya na Faith Kutere.
    続きを読む 一部表示
activate_samplebutton_t1

あらすじ・解説

Eliot Berry, Raia wa Uingereza alikuja Kenya akiwa na umri wa miaka 19 alipotumwa na mamaye kutembea. Anasema alikuwa msumbufu na mara nyingi alikuwa akitoroka shuleni lakini alipofika Kenya alihisi kuwa nyumbani na maisha yake yakabadilika. Alianza rasmi kuishi nchini Kenya mwaka 2011 na amejifunza Kiswahili na pia Sheng kwa lengo la kutangamana na watu wa matabaka yote. Aidha, kwenye mitandao ya kijamii anakojulikana kama Reverend Dad, amekuwa akiwafurahisha watu kwa video za ucheshi kutumia Kiswahili. Katika Kicha Changu Podcast wiki hii tunaangazia maisha ya Reverend Dad, katika mahojaino haya na Faith Kutere.

Eliot Berry, Mwingereza anayependelea kuishi Kenya| Kisa Changu Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。